Skip to main content

Must read Terms of Service & Privacy Policy and be at least 18

Must read Terms of Service & Privacy Policy and be at least 18

Swahili - Marafiki wa Kuandikiana waliyo wafungwa

WriteAPrisoner.com - Mtandao ambao huwasaidia wafungwa wa kweli kupata marafiki wa kuandikiana wa kweli. Wanaume na wanawake waliyo wafungwa ambao wana upweke wanatugeukia sisi kwa nambari kubwa ili kupata urafiki inje mwa kuta za gereza. Watu ambao uko karibu kupatana nao kwenye mtandao huu wanatofautiana kwa mbali - kwa miaka, wanapoishi na ya maana zaidi, kwa nini wamo gerezani. Kitu kimoja ambacho wote wanashirikiana ni upweke usiyo dhibitiwa na tamaa inayo uma ya urafiki.

Maelfu ya marafiki wa kuandikiana waliyo wafungwa, wanaume kwa wanawake katika vifungo vya serikali, jela za mkoa, sehemu za marekebisho, na magereza ya kigeni na ya ngambo yanamatumaini sana ya mawasiliano ambayo yanaweza kuelekeza kwa urafiki, mapenzi, au usaidizi wa kisheria. Wafungwa? Matangazo yaliyo pangwa kwa utaratibu  ni matangazo ya kibinafsi yanayo jumuisha picha. Kumbuka, katika dunia hii ya uadilifu, kuzungumza mtandaoni na barua pepe hazipatikani kwa wafungwa kwasababu hawawezi kufikia kompyuta. Barua zako za posta huifadhiwa na kutunzwa ambapo uinua haki za kibinadamu na urekebisho unapowaandikia marafiki wa kuandikiana waliyo wafungwa. Pia, mtandao huu utakuwezesha kutuma ujumbe wako wa kwanza kwa barua pepe pamoja na anwani ya kujibu. Tutazichapisha na kuzituma moja kwa moja kwa wafungwa, kukuokolea  gharama ya posta.

Wafungwa wanaume kwa wanawake waliyo mbaroni hawapati barua mara kwa mara na hutumikia masaa mengi kama masaa 23 kwa siku korokoroni. Wengine husubiri kunyongwa kwa hukumu ya kifo. Wengine uishia katika kifungo cha ukiwa. Utapata pia wafungwa wa kisiasa na wafungwa wa kivita kwenye mtandao huu. Urafiki wa kuandikiana ndiyo uhusiano pekee wanaoweza kuwa nao. Urafiki kwa watu waliyofungwa huwa ngumu kiasi, sana sana kwa wafungwa wa kifo ambao wametengwa na wafungwa wengine. Kuwafikia marafiki wa kuandikiana waliyo wafungwa inaweza kuwa kitendo cha ukarimu sana ambacho unaweza kufanya katika maisha yako yote. Tafadhali,utamfikia na kumwandikia mfungwa leo?

Ingiza WriteAPrisoner.com​